Translate

Thursday, August 16, 2012

Zogo la Malawi na Tanzania Kwishniii

Finally zogo la kugombania mipaka ya lake nyasa limeisha okay not quite.Kisa choote, ni makampuni ya nje ya mafuta yanataka kuingia dili na Malawi, na kuwapa ideas zisizo kuwa na kichwa wala mguu. Baada ya Tanzania kuzitaka ndege zinazozunguka ziwa Nyasa upande wa Tanzania kufanya utafiti wa mafuta kuondoka fasta mpaka kieleweke, Malawi imekubali na kuziondoa ndege hizo.
Hizi ndio ramani zilizo zagaa google, hiyo mistari ya manjano ndio inayo onyesha mipaka ya nchi. kweli sisi tulikuwa tumelala wakati haya yanaendelea.

(Lake Nyasa)

Ingia  Hapa Mwananchi mwenyewe kwa habari zaidi.


No comments:

Post a Comment