Translate

Friday, July 29, 2016

Aya za Leo - Jinsi ya Kukaribisha wageni (How to welcome guests)


Je! Imekufikia hadithi ya wageni wa Ibrahim wanao heshimiwa?Walipo ingia kwake wakasema: Salama! Na yeye akasema: Salama! Nyinyi ni watu nisio kujueni.  
Akenda kwa ahali yake na akaja na ndama aliye nona. 

Has there reached you the story of the honored guests of Abraham? Behold, they entered his presence, and said: "Peace!" He said, "Peace!" (and thought, "These seem) unusual people." Then he went to his family and came with a fat [roasted] calf. (Qur'an 51:24-26)

Ijumaa Njema wadau!

Tuesday, July 26, 2016

Mohammed Dewji

Mohammed Dewji one of Tanzania's Richest Man who was featured in Forbes Africa as one of the richest man in Africa has EARNED his Spot at Binti wa Kiislamu. He has pledged to donate half of his wealth to the poor, he has joined the likes of Sewa Haji. Read the story by clicking here, but now lets know the man and celebrate him.

Mohammed Dewji was born in Singida, Tanzania on the 8th of May 1975. He was the second child among 5 others. He graduated from Georgetown university with a Bachelor of Science in Finance and International Business in 1998 with a minor in theology. He is a businessman, politician, God Fearing and a philanthropist.

Mohammed joined the family business as a Chief Financial Controller of Mohammed Enterprises Tanzanian Limited (METL) in 1998. Shortly after, he became a major sponsor of the Simba Sports Club In Dar-Es-Salaam and the football team went far with his support. In 2003 he became the managing director of METL where he grew the company by expanding it into different sectors and in 2005 he became a member of parliament where he served for 10 years. In 2014 Mr.Dewji started the Mo Dewji Foundation which is dedicated to enrich the lives of Tanzanians and uplift them from poverty and hardship. He also joined the Board of Advisors of Georgetown University McDonough school of Business as a member in 2014. Mohammed Dewji is blessed with one wife and two children. 

Mohammed Dewji has surpassed on what is even required of him to give to the poor. Giving up half of your wealth is no small matter, he works hard for his money, he puts in 100 hours of work per week and him giving it up just like that? is commendable. He has a good heart, and what I say to you is focus on putting it to things that will live for decades to come if not forever. You are an inspiration to many and I hope that you inspire other rich men in Tanzania to follow suit.

May Allah bless you and your family with more and may he guide you to where he wants you to put it.


Bonyeza hapa upate habari yake kwa kiswahili. Na kusoma habari yake ya kujitolea nusu ya mali yake bonyeza hapa kwenye gazeti la Mwananchi.


Friday, July 22, 2016

Aya za Leo - Jinsi ya Kusaidia maskini (How to help the poor)


Na mpe aliye jamaa yako haki yake, na masikini, na msafiri; wala usitumie ovyo kwa fujo.Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi. Na ikikubidi kuepukukana nao, ukiwa unatafuta rehema ya Mola wako Mlezi unayo tarajia, basi sema nao maneno laini. 

And give the relative his right, and [also] the poor and the traveler, and do not spend wastefully.Indeed, the wasteful are brothers of the devils, and ever has Satan been to his Lord ungrateful.And if you [must] turn away from the needy awaiting mercy from your Lord which you expect, then speak to them a gentle word. (Qur'an 17:26-28)

Ijumaa Njema!

Friday, July 15, 2016

Aya ya Leo - Msiwauwe watoto wenu (Do not Kill your Children)


Wala msiwauwe watoto wenu kwa kuogopa umaskini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi. Hakika  mauaji yao ni dhambi kubwa.

And do not kill your children for fear of poverty. We provide for them and for you. Indeed, their killing is ever a great sin. (Qur'an 17:31)

Ijumaa Mubarak!


Friday, July 8, 2016

Hadithi ya Leo - Adhana - Adhan (Call to Prayer)


Imehadithiwa na Abu Sa'id Al-Khudri:

Mtume wa Allah alisema, " Kila ukisikia Adhana, sema kile anachosema muadhini."

Narrated Abu Sa'id Al-Khudri:

Allah's Messenger said,  "Whenever you hear the Adhan, say what the Mu'adh-dhin is saying."
(Bukhari 611)

Ijuma Njema Wadau!

Tuesday, July 5, 2016

Hadithi ya Leo - Kula kabla ya Salaa ya Eid (Eating before the Eid Prayer)

Eid Mubarak! Tufate sunna ya Mtume ya kufungua kinywa kabla ya Swala ya Eid. Pia msisahau kutoa zakatul fitr na kuzitolea familia zenu.


Imehadithiwa na Anas bin Malik:

Mtume wa Allah(S.A.W) hakuenda kuswali siku ya Eid ul Fitr kabla ya kula tende. Anas pia aliongezea, Mtume alikuwa akila tende kwa idadi ya witiri (1,3,5 n.k).

Narrated Anas bin Malik:

Allah's Messenger (ﷺ) never proceeded (for the prayer) on the Day of `Id-ul-Fitr unless he had eaten some dates. Anas also narrated: The Prophet (ﷺ) used to eat odd number of dates.

Friday, July 1, 2016

Aya za Leo - Reward(Ujira)

Hakika wale walio amini na wakatenda mema - hakika Sisi hatupotezi ujira wa anaye tenda mema. Hao watapata Bustani za milele, zinazo pita mito kati yake. Humo watapambwa kwa mavazi ya mikononi ya dhahabu, na watavaa nguo za kijani za hariri na at'ilasi, huku wakiegemea humo juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri mno ya kupumzikia! 

 

Indeed, those who have believed and done righteous deeds - indeed, We will not allow to be lost the reward of any who did well in deeds. Those will have gardens of perpetual residence; beneath them rivers will flow. They will be adorned therein with bracelets of gold and will wear green garments of fine silk and brocade, reclining therein on adorned couches. Excellent is the reward, and good is the resting place. (Qur'an 18:30-31)

Ijumaa Njema Wandugu!

 

Mawaidha ya Leo kutoka kwa Sheikh Kishki - Ramadhani na umuhimu wake