Translate

Saturday, December 31, 2016

Happy New Year! Heri ya Mwaka Mpya!

Alhamdulillahi! Tunaumailiza mwaka 2016 vizuri. Tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai wetu, afya na ndugu, jamaa na rafiki zetu wenye wema na sisi.Na tumuombe atufanyie wepesi mwaka mpya uwe wa kheri, baraka zake na mafanikio mengi. Nawatakia kheri ya mwaka mpya na nawaacha na quotes za rumi hapo chini.


Binadamu ni kama mti. Mzizi wako ni agano lako na Mungu, huo mzizi unatakiwa utunzwe na nguvu zako zote. Agano dhaifu ni mzizi uliooza, usio na neema wala tunda. Japo matawi na majani wa mti wa mtende ni ya kijani, ukijani wake hauleti faida kama mzizi ni mbovu. Kama tawi halina majani ya kijani, lakini lina mzizi mzuri, mwisho wake ni majani mengi yatajitokeza.

The Human being resembles a tree.Your root is a covenant with God that root mush be cherished with all one's might.A feeble covenant is a rotten root, without grace or fruit. Though the boughs and leaves of the date palm are green, greenness brings no benefit if the root is corrupt.If a branch is without green leaves, yet has a good root, a hundred leaves will put forth their hands in the end. ~ Rumi