Translate

Friday, November 20, 2015

Aya ya Leo - Dua (Prayer)

Na kati yao wapo wanao sema:

Dua:

"Mola wetu Mlezi, tupe mema ya duniani, na mema ya Akhera, na utulinde na adhabu ya Moto! "

But among them is he who says, 

Prayer: 


"Our Lord, give us in this world [that which is] good and in the Hereafter [that which is] good and protect us from the punishment of the Fire."

 
(Qur'an 2:201)


                            Ijumaa Kareem wadau.

Friday, November 13, 2015

Aya za Leo - Allah


And it is He who accepts Repentance from his servants And Pardons Misdeeds, and he knows what you do. And He answers [the supplication of] those who have believed and done righteous deeds and increases [for] them from His bounty. But the disbelievers will have a severe punishment.

Ni yeye anaye pokea Toba kutoka wa waja wake, Na anasemehe makosa, Na anajua mnayo yatenda. 
Na anawaitikia wanao amini na wakatenda mema, na anawazidishia fadhila zake. Lakini makafiri watakuwa na adhabu chungu.
(Qur'an 42:25-26)

Maelezo:
Ni Mwenyezi Mungu peke yake ndiye mwenye kupokea toba kwa watu wanao mtii hata kwa makosa yaliyozidi yale wanayo ombea toba. Na Yeye ndiye anaye samehe madhambi yote isipo kuwa shirki, kwa  kufadhili na kurehemu; na anayajua myatendayo ikiwa ya kheri au shari.Na huwaitikia Waumini kwa wanayo yaomba, na huwazidishia juu ya hayo wanayo yaomba. Na makafiri watapata adhabu yenye kufikia ukomo wa ukali na uchungu.

Friday, November 6, 2015

Tanzania's 5th new president sworn in

Congratulations to our new President, Dr. John Pombe Magufuli and his Vice President Samia Hassan, for winning this year's election. The race was tight this year, but Alhamdullilah we made it to the end. Wishing our Zanzibar brothers and sisters a peaceful finish as well, to whoever wins May Allah guide and protect you all.