Translate

Friday, February 19, 2016

Aya ya Leo - Qur'an

Na bila ya shaka sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kuikumbuka, je kuna atakaye ikumbuka?

And We have certainly made the Qur'an easy for remembrance, so is there any who will remember? (Qur'an 54:17)

                                                       Jumaa Mubarak!


 


Friday, February 12, 2016

Aya ya Leo - Uchunguzi (Investigation)

Enyi nyie mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

O you who have believed, if there comes to you a disobedient one with information, investigate, lest you harm a people out of ignorance and become, over what you have done, regretful. (Qur'an 49:6)

Next time unapata forward ya what's up, fanya kuichunguza kwanza kabla ya kuiforward. Ijumaa Mubarak my people!Friday, February 5, 2016

Aya ya Leo - Tishio la Shetani (Satan's Threat)

 

Shet'ani anakutieni hofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu. Na Mwenyezi Mungu anakuahidini msamaha na fadhila. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye wasaa, Mwenye kujua. 

   

Satan threatens you with poverty and orders you to immorality, while Allah promises you forgiveness from Him and bounty. And Allah is all-Encompassing and Knowing. (Qur'an 2:268)

Thursday, February 4, 2016

Bengaluru Mob Assaults Tanzanian GirlAnd here I was planning a vacation to New Delhi. I guess my far east vacation will need to be redirected somewhere else.