Translate

Friday, January 31, 2014

Verse of the Day (Surat Muhammad) - Dunia

The life of this world is but play and amusement: and if ye believe and guard against Evil, He will grant you your recompense, and will not ask you (to give up) your possessions.

Hakika uhai wa duniani ni mchezo na pumbao. Na mkiamini na mkamchamngu Mwenyezi Mungu atakupeni ujira wenu, wala hakutakeni mali zenu.(Quran 47:36).
 Ijumaa karimu wadau!

Friday, January 24, 2014

Verse of the Day (Surat Muhammad) - Tests

And We will surely test you until We make evident those who strive among you [for the cause of Allah ] and the patient, and We will test your affairs.

Na hakika tutakujaribuni mpaka tuwadhahirishie wale wanao jitahidi kati yenu na wenye subira, na tutawajaribu kwenye mambo yenu. (Quran 47:31)

Sunday, January 19, 2014

The Human Family Tree

We all come from Tanzania after all. LOL!Enjoy!The oldest evidence of man was discovered by Dr. Louis Leaky and Dr.Mary Leakey, in Olduvai Gorge (Oldupai Gorge), Tanzania, AKA "The cradle of mankind". Scientists were able to date the skull to be about 2 million years old, and evidence suggests they used stone tools that were found in the area.  Later on, some hominid footprints were found at Laetoli, south of Olduvai Gorge and were dated to be older than 3.5-4 million years. Heeeey! we are all children of Adam indeed from AfriKa!

Friday, January 17, 2014

Verse of the Day (Surat Muhammad) - Deeds

Indeed, those who disbelieved and averted [people] from the path of Allah and opposed the Messenger after guidance had become clear to them - never will they harm Allah at all, and He will render worthless their deeds.

Kwa hakika walio kufuru na wakazuilia njia ya Mwenyezi Mungu na wakapinzana na Mtume baada ya kwisha wabainikia uwongofu, hao hawatamdhuru Mwenyezi Mungu kwa lolote. Naye ataviangusha vitendo vyao. (Quran 47:32)

Ijumaa Njema!

Thursday, January 16, 2014

Muhammad The Final Legacy Episode 1 HD

Watch the Arabic Series on Prophet Muhammad(PBUH). Its in Arabic with English subtitles. Enjoy!


Happy Muungano day my peeps!

Tuesday, January 14, 2014

What was the Prophet Like?
Subhanallah! I bear Witness that there is only One God and Muhammad is his prophet.

Happy Maulid!

Today we celebrate the Birth of prophet Muhammad (May Allah's peace and blessings be upon him). We celebrate his birth by remembering him as a Prophet of Allah, a son, a husband, a father, a businessman, a leader and a friend.
You can watch the famous movie the message from an earlier post of mine by clicking here>>>

Saturday, January 11, 2014

Aya ya Leo - Surat An-Nahl (The Bee)

Mungu wako ni Mmoja. Lakini wale wasio amini Akhera, Nyoyo zao zinakataa, na wao ni viburi.

Your god is one God. But those who do not believe in the Hereafter - their hearts are disapproving, and they are arrogant. (Qur'an 16:22)

Friday, January 10, 2014

Friday, January 3, 2014

Verse of the Day - Surat Al-Ma'ida (The Table Spread)

And We have revealed to you, [O Muhammad], the Book in truth, confirming that which preceded it of the Scripture and as a criterion over it. So judge between them by what Allah has revealed and do not follow their inclinations away from what has come to you of the truth. To each of you We prescribed a law and a method. Had Allah willed, He would have made you one nation, but [He intended] to test you in what He has given you;so race to [all that is] good. To Allah is your return all together, and He will [then] inform you concerning that over which you used to differ.

Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sheria yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni.Basi Shindaneni kwa mambo ya Kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana. (Qur'an 5:48)

Ijumaa Njema Wadau.

Thursday, January 2, 2014

Msomi wa Leo - Sheikh Yusuf Muhamed Seif Simbano

Alhamdullilah! Tumeuona mwaka mpya wa 2014. Basi tuanze mwaka huu na wasomi wetu wa dini, na leo tunarudi nyumbani kwa Sheikh Yusuf Muhamed Seif Simbano.

Sheik Yusuf Simbano amezaliwa mwaka 1963 Mwanga, Tanzania. Ni Imam mkuu wa msikiti wa Mitungi Buguruni Malapa Dar. Sheikh alihitimu msaafu akiwa mdogo kwenye chuo cha Sheikh Hatibu Msemo huko Mwanga, na akaendeleza elimu yake ya dini na kiarabu Dar, katika chuo cha Almarkas Zulislamiyu Imisriyu kwa muda wa miaka mitano, hichi chuo kiliwekwa msingi na marehemu J.K.Nyerere. Alipomaliza hapo, akienda kumalizia elimu yake Misri kwenye Chuo Kikuu cha Al-Azhar, akachukua shahada yake ya dini utaalamu kwenye Hadithi.

Sheikh alisha fanya kazi ya kufundisha na Bakwata, na pia alisha fundisha Chuo cha Abdillah bin Abas, na Chuo cha Jamia Nuria hapo nyuma. Sheikh anaongea kiswahili na kiarabu vizuri.

Sheikh Simbano ana mke mmoja na watoto watatu, wawili wa kiume na wakike mmoja. Mke wake Sakina binti Ismaili, alianzisha kituo cha watoto yatima kinachoitwa Mwana Orphans Center kilichokuwa Dar. Walianza na watoto watano, wakapata wafadhili waliowasaidi kukiendeleza na kukiendesha kituo kikakuwa mpaka sasa kina watoto 50.

Talk about a power couple who do good and know how to live in this world. Kuna somo hapa ya aina ya mke au mume unataka awe partner wako wa maisha. Partner atakaye kuinua uwezo wako kikamilifu uweze kuendelea kwenye maswala ya Dini na Dunia, au atakaye kurudisha nyuma na kukupotosha?

Msikilize mwenyewe Sheikh anakwambia Fadhila za kumfurahia Mtume Muhamed(S.A.W) na mazazi yake.

Mashallah! Mwenyezi Mungu Amzidishie yeye na familia yake, hekima, elimu ya dunia na dini. Na awaekee nuru yake kwenye familia nzima ya Sheikh Simbano.