Translate

Friday, December 28, 2018

Aya ya Leo - Mungu Mmoja(One God)Na Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

And your god is one God. There is no deity [worthy of worship] except Him, the Entirely Merciful, the Especially Merciful. (Qur'an 2:163)

Jumaa Mubarak!

Friday, December 21, 2018

Aya ya Leo - Imani ya Mungu Mmoja (Monotheism)


Mwenyezi Mungu hana mwana yeyote, wala hanaye mungu mwengine. Ingekuwa hivyo basi kila mungu angeli chukua alivyo umba, na baadhi yao wangeli washinda wengine. Mwenyezi Mungu ameepukana na sifa wanazo msifu.

Allah has not taken any son, nor has there ever been with Him any deity. [If there had been], then each deity would have taken what it created, and some of them would have sought to overcome others. Exalted is Allah above what they describe [concerning Him]. (Qur'an 23:91)
Jumaa Mubarak!