Translate

Friday, February 27, 2015

Aya ya Leo - Muhammad (S.A.W)

 

Muhammad sio baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Allah na ni wamwisho kwa Manabii. Na Allah ndiye anayejua kila kitu.

Muhammad is not the father of [any] one of your men, but [he is] the Messenger of Allah and last of the prophets. And ever is Allah , of all things, Knowing. (Qur'an 33:40)
Jumaa Kareem!Wednesday, February 25, 2015

Qaswida kutoka Uingereza na Leo Pia -Sami Yusuf (Forgotten Promises)

A little Something for your midweek break.
There is a little surprise for my Swahili speakers in there.

Forgotten Promises indeed!

Tuesday, February 24, 2015

Hadithi ya Leo - Majina 99 ya Mwenyezi Mungu

Ime Hadithiwa na Abu Huraira:
Allah ana majina tisini na tisa, Mia toa moja, na yeyote atakayo amini maana zake na kufanya ya pasavyo, ataingia peponi. Na Mwenyezi Mungu ni witr(Mmoja) na anapenda witiri (idadi isiyo gawanyika kwa mbili ikajitosheleza).

Narrated Abu Huraira:
Allah has ninety-nine Names, i.e., one hundred minus one, and whoever believes in their meanings and acts accordingly, will enter Paradise; and Allah is witr (one) and loves 'the witr' (i.e., odd numbers).
(Bukhari 6410)

Monday, February 23, 2015

Qaswida Kutoka Uingereza Leo -Sami Yusuf


Asma Allah سامي يوسف - أسماء الله الحسنى |
I bet you haven't heard this version of the 99 names/characteristics of Allah.
This is what I call a complete Qaswida, yaani it not only mentions the 99 Characteristics of God, but also sends salutations to Prophet Mohammed(S.A.W) and finishes with a DUA to Allah for oneself.
I love Sami Yusuf, though I think he needs to start changing the concepts of his videos, they are starting to look the same.
Happy Monday Everyone, you have already started it well if you listened and sang along or atleast read along.

Friday, February 20, 2015

Aya ya Leo - AllahVinamsabihi, Vinamtakasa Mwenyezi Mungu viliomo katika mbingu na viliomo katika ardhi. Naye ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 

Whatever is in the heavens and whatever is on the earth exalts Allah , and He is the Exalted in Might, the Wise.  (Qur'an 59:1).
Ijumaa Karimu!

Monday, February 16, 2015

Qaswida Kutoka Tanzania Leo - Madrasatul Ghazal Islamiyah

Vifo vya albino
CHORUS
Tuna walaani wasio na imani walio jaa hapa nchini, 
wana waua albino kwa makosa gani twaomba watu ambeni. 
Hii ni Akili gani nyie.

We curse the ones without faith who have filled this country,
Who kill the ALBINO for what wrongs,
Please tell us,
What kind of thinking is this? 
 

Friday, February 13, 2015

Sheikh Juma Amir - Huyu ndiye Mtume Muhammad SAW
Nimechekaa! Eti sijui mwekundu? Haya mi mnubii iwejee? hahahaaa!

Aya ya Leo - Rehema (Mercy)

[Ewe Muhammad], Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.

[O Muhammad], inform My servants that it is I who am the Forgiving, the Merciful.
(Qur'an 15:49)
  
Ijumaa tulivu my people!

Friday, February 6, 2015

Aya za Leo - Ufunguzi (Revelation)


Huu ni Ufunguzi wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.
Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , hivyo hawajui.

  [This is] a revelation of the Exalted in Might, the Merciful,
That you may warn a people whose forefathers were not warned, so they are unaware.   
(Qur'an 36:5-6) 

Happy Friday Everyone! 

Monday, February 2, 2015

Qaswida Kutoka Saudia Leo -Muhammad al Muqit


Njia ya Machozi ni njia ya kujiliwaza
Basi Pumua Rafiki Yangu ili uweze kupumzika.

Mashairi Makali!