Translate

Monday, May 6, 2019

Hadithi ya Leo - Muda wa Kufunga (When to fast)Imehadithiwa na Abdullah bin Umar:

Mtume was Allah alisema, " Mwezi unaweza kuwa usiku 29, na msifunge mpaka muuone mwezi, na kama kuna mawingu, basi malizieni siku thalathini ya Sha'ban."

Narrated `Abdullah bin `Umar:

Allah's Messenger (ﷺ) said, "The month (can be) 29 nights (i.e. days), and do not fast
till you see the moon, and if the sky is overcast, then complete Sha'ban as thirty days."
(Bukhari 1907)

No comments:

Post a Comment