Translate

Friday, May 10, 2019

Aya ya Leo - Mazuri yanatoka kwa Allah (Goodness is From Allah)Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu [Ewe Binadamau] linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma [Ewe Muhamad] kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
 
What comes to you of good is from Allah, but what comes to you of evil, [O man], is from yourself. And We have sent you, [O Muhammad], to the people as a messenger, and sufficient is Allah
as Witness. (Qur'an 4:79)
 
Happy First Friday of Ramadhan!

No comments:

Post a Comment