Translate

Friday, December 6, 2013

Nelson Rolihlahla Mandela Afariki Dunia!

(18 July 1918 – 5 December 2013)
"Hakuna Mtu anazaliwa kumchukia mwenzake kwasababu ya Rangi yake, au anapotekea, au dini yake. Watu lazima wajifunze chuki, na kama wanaweza kujifunza chuki, wanaweza pia kufundishwa upendo. Kwani upendo ni rahisi zaidi moyoni kuliko chuki."
Hayo ni maneno ya raisi wa Kwanza Mweusi wa Afrika kusini, ambaye ni kati ya watu walio pigania haki ya watu weusi na kuondoa ubaguzi nchini kwao.
Watch the video below for a 5 minute summary of his life.

A sneak Peak of his experience in Mbeya a city in Tanzania then Tanganyika, straight from his book "Long Walk to Freedom".Mwenyezi Mungu ampumzishe huyu mzee aliye mjaalia subira na maisha marefu, mpaka akaweza kuona nchi yake ikikombolewa.

No comments:

Post a Comment