Translate

Tuesday, December 17, 2013

Hadithi ya Leo - Mali(Wealth)


Abu Huraira alihadithia kuwa Mtume wa Allah (S.A.W) alisema:
Utajiri sio kuwa na mali nyingi, bali utajiri ni kuridhika na nafsi yako.

Abu Huraira narrated that the Messenger of Allah (S.AW) said:
"Richness is not having many possessions, but richness is being content with oneself. -Sahih
(Tirmidhi: Book 36:70)

No comments:

Post a Comment