Translate

Monday, December 9, 2013

Hadithi ya Leo - Umuhimu wa Kusoma kwenye Sala (The Importance of Reciting in Prayer)


Abu Huraira Alisema:
Mtume wa Allah(S.A.W) alisema: Mtu yeyote anaye fuatilia sala bila kusoma Qur'ani, sala yake ina mapungufu (alirudia haya mara tatu) na haija kamilika. Abu Huraira aliambiwa, saa nyingine tuko nyuma ya Imam. Alijibu, isome moyoni, kwani alimsikia Mtume wa Allah(S.A.W) akitangaza kuwa Mwenyezi Mungu alisema: Nimeigawanya sala mara mbili kati ya mimi na mtumishi wangu, na mtumishi wangu atapata anacho kiomba.
Mtumishi wangu akisema: Sifa njema zote ni za Allah, Mola mlezi wa ulimwengu.
Mwenyezi Mungu anajibu: Mja wangu kanisifia.
Na akisema: Mwingi wa Rehema , Mwenye Kurehemu.
Mwenyezi Mungu anajibu: Mja wangu kanipongeza.
Na akisema: Mmiliki wa siku ya Malipo.
Mwenyezi Mungu Anasema: Mmja wangu amenitukuza na muda mwingine husema Mmja wangu amenikabidhi mambo yake.
Na akisema: Wewe tu ndio tunaye kuabudu na wewe tu ndiye tunaye kuomba msaada.
Mwenyezi Mungu anasema: Hii ni kati yangu mimi na mmja wangu, na mmja wangu atapata anachokiomba.
Kisha Mmja anaposema: Tuongoze njia iliyo nyooka, njia ya wale ulio waneemesha, na sio ya wale ulio wakasirikia wala ya wale walio potea.
Mwenyezi Mungu anasema: Hii ni kwa ajili ya mmja wangu, na mmja wangu atapata anacho kiomba.

Sufyan alisema: 'Ala b. 'Abd a-Rahman b. Ya'qub alinihadithia nilivyo enda kumuona nyumbani kwake alivyokuwa amekabidhiwa na maradhi.

Abu Huraira reported:

The Apostle of Allah (PBUH) said: If anyone observes prayer in which he does not recite Umm al-Qur'an, It is deficient [he said this three times] and not complete. It was said to Abu Huraira: At times we are behind the Imam. He said: Recite it inwardly, for he had heard the Messenger of Allah (PBUH) declare that Allah the Exalted had said: I have divided the prayer into two halves between Me and My servant, and My servant will receive what he asks. 
When the servant says: Praise be to Allah, the Lord of the universe.
Allah the Most High says: My servant has praised Me
And when he (the servant) says: The Most Compassionate, the Merciful.
Allah the Most High says: My servant has lauded Me
And when he (the servant) says: Master of the Day of judgment,.
He remarks: My servant has glorified Me. and sometimes He would say: My servant entrusted (his affairs) to Me.
And when he (the worshiper) says: Thee do we worship and of Thee do we ask help.
He (Allah) says: This is between Me and My servant, and My servant will receive what he asks for
Then, when he (the worshiper) says: Guide us to the straight path, the path of those to whom Thou hast been Gracious not of those who have incurred Thy displeasure, nor of those who have gone astray.
He (Allah) says: This is for My servant, and My servant will receive what he asks for

Sufyan said: 'Ala b. 'Abd al-Rahman b. Ya'qub narrated it to me when I went to him and he was confined to his home on account of illness, and I asked him about it. (Muslim 4:41)


Wiki Njema Wadau!

No comments:

Post a Comment