Translate

Friday, November 29, 2013

Verse of the Day - Surah Al-'Isra (The Night Journey)


And your Lord has decreed that you not worship except Him, and to parents, good treatment. Whether one or both of them reach old age [while] with you, say not to them [so much as], "uff," and do not repel them but speak to them a noble word.

Na Mola wako ameamrisha kuwa usimuabudu yeyote ila yeye tu, na uwatendee wema wazazi. Ikiwa mmoja wao au wote wakifikia uzeeni na wewe, basi usiwaambie hata Aah! wala usiwakemee, bali sema nao kwa heshima. (Qur'an 17:23-24)


Habari ndio hiyo...
Ijumaa Njema Wadau!

No comments:

Post a Comment