Translate

Wednesday, November 27, 2013

Hadithi ya Leo - Tuhuma (Suspicion)


Ime hadithiwa na Abu Huraira:
Mtume wa Mwenyezi Mungu(Rehma na Amani zimshukie) alisema, Kuweni makini na Tuhuma, kwani ni hadithi yenye uongo kuliko zote. Msitafute makosa ya wenzenu, wala kupelelezana, kuchukiana na kususiana enyi watumwa wa Allah, kuweni ndugu.


Narrated Abu Huraira:
Allah's Messenger (PBUH) said, 'Beware of suspicion, for it is the worst of false tales and don't look for the other's faults and don't spy and don't hate each other, and don't desert (cut your relations with) one another O Allah's slaves, be brothers!"  (Bukhari Vol. 8, Book 80)

No comments:

Post a Comment