Wa palestina kutokana na uhaba wa kupata Saruji na vifaa vya kujengea 
nyumba, ambazo wana zinunua kutoka Israel na nchi zingine za nje, wamechukua 
uamuzi wa kujenga nyumba za udongo. ShamsArd, Kampuni ya usanifu wa 
majengo palestina, ndo kampuni ya kwanza iliyochukua uamuzi wa kujenga 
hizi nyumba za udongo ili waweze kujitegemea wenyewe.  Nyumba hizi ni za
 bei ndogo, Hulinda mazingira, na pia kutokana na hali ya kivita ya hiyo
 sehemu ya west bank, kutwa nyumba zao hubomolewa. Gharama yake ya 
kuijenga tena nyumba kama hii ni ndogo ukilinganisha na nyumba ya 
saruji.
      Nyumba ya Ahmad Doud iliyokuwa mji wa Jericho, West Bank, Palestina.
In'Shaa'llah! wataweza kujitegemea na vitu vingine.
 
No comments:
Post a Comment