Na miili miwili ya maji hayafanani. Moja ni matamu
yenye ladha, mazuri kunywa. Na nyingine ni ya chumvi, machungu. Na kutoka kila moja mnakula nyama laini (isiyo chacha). Na mnatoa mapambo mnayo
yavaa. Na unaona ndani yake meli zinapita, ili mtafute fadhila
zake, na ili mpate kushukuru.
And  not  alike  are  the  two 
 bodies  of  water.  One  is  fresh  and  sweet,  palatable  for  
drinking, and  one  is  salty  and  bitter.  And  from  each  you  eat  
tender  meat  and  extract  ornaments which  you  wear,  and  you  see  
the  ships  plowing  through  [them]  that  you  might  seek  of His  
bounty;  and  perhaps  you  will  be  grateful. (Qur'an 35:12)
No comments:
Post a Comment