Translate

Wednesday, November 28, 2012

Sharo Milionea AKA Hussein Ramadhani Atuacha

Nimesikitika nilivyo pata habari ya Msanii wa bongo Hussein Ramadhani almaaruf kwa Sharo Milionea afariki Dunia. Kifo chake kili sababishwa na ajali ya gari lake kupinduka alipokuwa anaelekea Muheza,Tanga kutokea Dar Es Salaam.

 I have a copy of the movie that made him famous with the name Sharo Milionea(Millionaire). Its sad that he passed away while his career was picking up with a little boost from an airtel commercial gig . It came as a shock, and a reminder for many of us that death is imminent, so we should all prepare for it. 


Sharo Milionea
(1987-2012)

At an Airtel commercial.
 Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un (إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ) 
Mwenyezi mungu amsamehe madhambi yake na ampe pepo.


2 comments:

  1. Kwa Allah tumetoka na kwake twarejea. Tunamuombea wote, Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  2. Sijui ni nini hawa vijana wadogo hivi wanatuacha.

    ReplyDelete