Translate

Thursday, November 29, 2012

Mazishi ya Sharo Milionea

Hussein Ramadhani AKA Sharo Milionea azikwa leo November 28 mwaka 2012, kwenye kijiji cha Lusanga Muheza,Tanga.Watu wakiisalia maiti 
wakimzika marehemu
Mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponiPicha na Bashirb Nkoromo


No comments:

Post a Comment