Translate

Friday, March 29, 2013

Japan Mobile Library

Serviced by bigger city libraries for small towns that don't have public libraries. It doesn't take much to have a library people.
Maktaba inapita miji midogo mara moja kwa wiki. Mteja akibadilisha kitabu.
Unapewa na stuli kabisaa kama hufikii kitabu.

I am inspired,aren't you? Ni mfano wa kuigwa, get ideas people.
Kuelimisha Jamii kwa kwenda mbele. Habari ndio hiyo!
Ijumaa Njema wadau!

1 comment: