Translate

Wednesday, March 6, 2013

Hugo Chavez Afariki Dunia

Hugo Rafael Chavez, raisi wa Venezuela aliyezaliwa Julai 28, 1954, afariki dunia Leo Marchi 5, 2013.  Alikuwa Raisi wa Venezuela toka mwaka 1999 mpaka kufa kwake. Habari ni kwamba alikuwa na cancer, na ameshafanyiwa operation nne toka Juni 2011 nchini Cuba. Februari 18, alirudi Venezuela, na alikuwa anaendelea na matibabu kwenye hospitali ya kijeshi mpaka kufa kwake. Ameacha watoto wanne.
Hugo Chavez 1954-2013
The video below was his interview with Barbara Walters for abc Television. 

Jamani Kuwa Raisi si mchezo, ni very stressful. Kwa Mwenyezi Mungu ndio tunapotoka, na ndio marejeo. Mwenyezi Mungu Ampumzishe marehemu.

No comments:

Post a Comment