Basi mimi sisemi mengi, nitawaacha tu na mapicha ya mafutari niwape mawazo, labda itajibu maswali yenu ya tule nini leo?
SAMBUSAAAA!!!!
Huwa ni Kitafunio kinachopendwa na wote.
| Sambusa Volcanic Mountain, about to erupt. |
![]() |
| Mambo ndio haya ya Chapati ya Maji. This is a hit in every household. |
| Vibibi mnavijua jamani? Nyongeza nyingine hii ya sukari, kubadilisha mlo. |
![]() |
| Le manioc de noix de coco, MMPO? Muhogo wa Nazi |
![]() |
| Tambi et Kuku? Mihogo unapendeza na nyama ya kukaanga, watu hupenda mbuzi au ngombe, lakini kuku pia inaenda. |
BIRIANIII!!!!!!
Siku nyingine ni kupumzisha vyakula vya hapo juu, na ku weka vitu simple.
Siku nyingine ni kupumzisha vyakula vya hapo juu, na ku weka vitu simple.
| I hate to say this, but ni vigumu mtu kukonda aisee. Jaribu tu kutoshindilia. Huu mlu ni mzuri kwa kuficha matunda na saladi, bila watu kujua wanayala kwa style hii. |
![]() |
| CheeseCake - Mara moja moja pia Rukhsa. |
Wiki ndio ilimalizika hivi. Wewe je?
Ukifuata ile style ya kula nilioisema ile post ya kwanza, mtaweza tu kuzi maintain hizo kilo.




ohhhhh!!nice :)
ReplyDelete