Translate

Friday, June 1, 2018

Aya za Leo - Jeshi la Tembo (The Elephant Army)

Hello Friday!
Alhamdullilah! Ijumaa ya pili ya Mwezi wa Ramadhani na bado tupo na Swaumu zetu.So kuendeleza ile story ya jana ya Othman Maalim, Tunaimaliza wiki na ile sura yenyewe.
Aya za Leo zimetoka kwenye Surat Al-Fiil- Tembo (The Elephant)
 

Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo?
Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika?
Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi,
Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
Akawafanya kama majani yaliyo liwa!

Have you (O Muhammad (Peace be upon him)) not seen how your Lord dealt with the Owners of the Elephant?
[The elephant army which came from Yemen under the command of Abrahah Al-Ashram intending to destroy the Ka'bah at Makkah].
Did He not make their plot go astray?
And He sent against them birds in flocks,
Striking them with stones of Sijjil.
And made them like an empty field of stalks (of which the corn has been eaten up by cattle).
 
 (Quran 105:1-5)
Jumaa Mubarak!

No comments:

Post a Comment