Translate

Tuesday, September 6, 2016

Mufti Menk at Diamond jubilee, Dar-Es-Salaam, Tanzania

Talk about a full house, Diamond Jubilee was so packed that even some people ended up sitting on the floor.
So below are lessons From Mufti Menk's Lecture summarized by another Binti wa Kiislamu in the crowd.
 • When Allah loves you, he puts you in hardship and trials. Allah gives you trials so that you can be closer to him.
 • When you have sincerity, the words of Allah will move you.
 • We were created with purpose, Develop a relationship with the one who created you.
 • Allah wants us to worship him alone.
 • We are always reciting Shahada without understanding its meaning and implications.
 • When you engage yourself with what Allah has forbid, it will bring you depression unless you repent.
 • What came to you was never meant to miss you.
 • If you seek forgiveness, Allah will forgive you.
 • If you want peace, follow the law of your maker.
 • Restore your IMAAN the same way you charge your phone.
 • Islam is based on forgiveness and Rehma.
 • Obsessed with looking good? The more depressed you are.
 • Motivational talk create changes only within 48 hours, after that it waters off.
 • Surround yourself with positive people.
 • Islam is the deen that will take your entire lifetime to swim.

  Maneno ya Mufti Menk kutoka Mawaidha yake ya Jumapili Diamond Jubilee

 • Allah akikupenda, anakuweka kwenye mitihani na majaribu. Allah anakupa majaribu ili uwe karibu nae.
 • Ukiwa na uwazi na ukweli, maneno ya Allah yatakugusa.
 • Tuliumbwa na sababu, basi tengeneza uhusiano na muumbaji wako.
 • Allah anataka tumuabudu yeye pekee.
 • Kutwa tunasoma Shahada bila kuielewa maana na athari zake.
 • Ukijihusisha na vitu Allah alivyo kataza, itakuletea huzuni isipokuwa ukitubu
 • Kilichokujia kwako hakikutakiwa kikukose
 • Ukitubu, Allah atakusamehe
 • Ukitaka Imani, fuata sheria ya muumbaji wako
 • Rudisha Imani yako kama unavyo chaji simu yako.
 • Uislamu umejengwa na misingi ya kusamehe na Rehema.
 • Je Kupendeza ndo muhimu kwako? Ndo jinsi utakavyo zidi kuhuzunika
 • Maneno ya kukutia Motisha yanakubadilisha ndani ya masaa 48, baada ya hapo yana suuzika.
 • Jizungushe na watu wema.
 • Uislam ni dini ambayo itakuchukua maisha yako yote kuiogelea.
  Wonderful talk, May Allah reward him. He's coming to Kenya Next month in October 8th in Nairobi and 9th in Mombasa. Don't miss it.


No comments:

Post a Comment