Translate

Friday, July 22, 2016

Aya za Leo - Jinsi ya Kusaidia maskini (How to help the poor)


Na mpe aliye jamaa yako haki yake, na masikini, na msafiri; wala usitumie ovyo kwa fujo.Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi. Na ikikubidi kuepukukana nao, ukiwa unatafuta rehema ya Mola wako Mlezi unayo tarajia, basi sema nao maneno laini. 

And give the relative his right, and [also] the poor and the traveler, and do not spend wastefully.Indeed, the wasteful are brothers of the devils, and ever has Satan been to his Lord ungrateful.And if you [must] turn away from the needy awaiting mercy from your Lord which you expect, then speak to them a gentle word. (Qur'an 17:26-28)

Ijumaa Njema!

No comments:

Post a Comment