Translate

Friday, February 12, 2016

Aya ya Leo - Uchunguzi (Investigation)

Enyi nyie mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

O you who have believed, if there comes to you a disobedient one with information, investigate, lest you harm a people out of ignorance and become, over what you have done, regretful. (Qur'an 49:6)

Next time unapata forward ya what's up, fanya kuichunguza kwanza kabla ya kuiforward. Ijumaa Mubarak my people!No comments:

Post a Comment