Aya ya Leo - Tishio la Shetani (Satan's Threat)
  
Shet'ani anakutieni hofu ya ufakiri na anakuamrisheni mambo machafu. Na
Mwenyezi Mungu anakuahidini msamaha na fadhila. Na Mwenyezi
Mungu ni Mwenye wasaa, Mwenye kujua. 
 
 
Satan
 threatens you with poverty and orders you to immorality, while Allah 
promises you forgiveness from Him and bounty. And Allah is 
all-Encompassing and Knowing. (Qur'an 2:268)
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment