Translate

Monday, March 2, 2015

Hadithi ya Leo - Qur'an


Imehadithiwa na Abu Huraira:
Mtume alisema, " Kila Mtume alipewa miujiza kwasababu ndo vitu ambavyo watu walikuwa wanaamini, lakini mimi nimepewa Muongozo ambayo Allah  ameni fungulia. Ni matumaini yangu wafuasi wangu watakuwa wengi kuliko wafuasi wa mitume wengine siku ya Kiyama."

 Narrated Abu Huraira:
The Prophet (ﷺ) said, "Every Prophet was given miracles because of which people believed, but what I have been given, is Divine Inspiration which Allah has revealed to me. So I hope that my followers will outnumber the followers of the other Prophets on the Day of Resurrection." 
- Bukhari 4981

No comments:

Post a Comment