Translate

Monday, March 23, 2015

Hadithi ya Leo - Alivyo KulaIme hadithiwa na Anas:
Kwa Ufahamu wangu, Mtume(S.A.W) alikuwaga hali vyakula vyake kwenye sahani kubwa kabisa, wala alikuwa hali mikate membamba, wala hakulaga kwenye meza ya kula.


Narrated Anas:
To the best of my knowledge, the Prophet (ﷺ) did not take his meals in a big tray at all, nor did he ever eat well-baked thin bread, nor did he ever eat at a dining table.(Bukhari 5386)

No comments:

Post a Comment