Translate

Sunday, October 20, 2013

Verse of the Day - Surah Ali-Imran (Family of Imran)

Na Shikamaneni kwa kamba ya Mwenyezi Mungu nyote, wala msiachane. Na kumbukeni neema ya Mwenyeyzi Mungu iliyo juu yenu. Mlikuwa maadui; naye akaziunganisha nyoyo zenu; hivyo, kwa neema yake, mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo.  Namna hivi Mwenyezi Mungu anakubainishieni Aya zake ili mpate kuongoka.


And hold firmly to the rope of Allah all together and do not become divided. And remember the favor of Allah upon you - when you were enemies and He brought your hearts together and you became, by His favor, brothers. And you were on the edge of a pit of the Fire, and He saved you from it. Thus does Allah make clear to you His verses that you may be guided. (Quran 3:103)

No comments:

Post a Comment