Maulid Celebration for the birth of Prophet Mohamed(S.A.W) that occurred in Zanzibar, Tanzania. I nabbed this from matukio-michuzi. Enjoy!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maulid EL Nabii Zanzibar Sheikh Khamis Haji
Khamis,alipowasili katika viwanja vya Maisara katika sherehe za Maulid
ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhamad (S.A.W) yaliyofanyika jana.
[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Ustadh Rashid Jaffer wa Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma
Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad
(S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja vya Maisara Mjini
Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama hayo na kuhudhuriwa
na maelfu ya Wumini wa Dini ya Kiislamu.
Ustadh Abdulla Hamad wa Chuo cha Kiislamu,akitoa
tafsiri ya Aya za Quran,zilizosomwa na Ustadh Rashid Jaffer wa
Magogoni Mjini Zanzibar,akisoma Quran Tukufu ya Ufunguzi wa Maulid ya
Kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa jana katika Viwanja
vya Maisara Mjini Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama
hayo na kuhudhuriwa na maelfu ya Wumini wa Dini ya Kiislamu.
Mtafsiri Lugha kwa njia ya alama akitoa tafsiri ya
maneno yanayozungumzwa wakati wa Hafla ya sherehe za Maulid ya
Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika
viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Wake za Viongozi na Akinamama wakisikiliza Maulid
Barzanj ya Kuzaliwa kwa yaliyosomwa na wasomaji mbali mbali na Qasida
katika sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad
(S.A.W) yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria
katika sherehe za Maulid ya Kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W)
yaliyofanyika jana katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Ustadh Ali Twalib Mohamed,wa Kibanda Hatari Mjini
Zanzibar akisoma Maulid Barzanj Mlango wa kwanza katika kusherehekea
kwa kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana
katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.
Kwa Habari zaidi ingia hapa Matukio-michuzi
Kwa Habari zaidi ingia hapa Matukio-michuzi
And this is how folks in Zanzibar Celebrated the Birth of Prophet Mohammed(S.A.W).
No comments:
Post a Comment