Translate

Friday, April 8, 2016

Aya ya Leo - Muhammad (S.A.W)

 

[Alikutumieni] Mtume [Muhammad] anaye kusomeeni Aya za Mwenyezi Mungu zinazo bainisha, ili kuwatoa walio amini na wakatenda mema kutoka gizani kuwapeleka kwenye nuru. Na mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu, na akatenda mema, atamwingiza katika Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo milele. Mwenyezi Mungu amekwisha mpa riziki nzuri. 

[He sent] a Messenger [Muhammad] reciting to you the distinct verses of Allah that He may bring out those who believe and do righteous deeds from darkness into the light. And whoever believes in Allah and does righteousness - He will admit him into gardens beneath which rivers flow to abide therein forever. Allah will have perfected for him a provision. (Qur'an 65:11).

Jumaa Mubarak!

Friday, April 1, 2016

Aya ya Leo - Spend within your means


Mwenye uwezo atumie (atoe) kadiri ya wasaa wake, na mwenye dhiki atumie(atoe) katika alicho mpa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu hamkalifishi mtu ila kwa kadiri ya alicho mpa. Mwenyezi Mungu atajaalia baada ya dhiki faraja.

Let the rich man spend according to his means, and the man whose resources are restricted, let him spend according to what Allah has given him. Allah puts no burden on any person beyond what He has given him. Allah will grant after hardship, ease. (Qur'an 65:7)

                                  Jumaa Mubarak!

Friday, March 25, 2016

The Siddi, an African Community in India

Hey! what are we doing over there!

They look African, but if you close your eyes, they sound very Indian. 
I'm also gonna lay a claim on them, Possibly Tanzanians. Hehe!

Friday, March 18, 2016

Aya ya Leo - Baraka (Blessings)


Rehema yoyote ambayo Mwenyezi Mungu anawafungulia watu hakuna wa kuizuia. Na anayo izuia hakuna wa kuileta isipo kuwa Yeye. Naye ndiye Mwenye nguvu, Mwenye hekima.

 

Whatever of mercy (i.e.of good), Allah may grant to mankind, none can withhold it, and whatever He may withhold, none can grant it thereafter. And He is the All Mighty, the All Wise. (Qur'an 35:2)

 

Ijumaa Mubarak Everyone, work hard, pray hard, give generously and you will be drenched with his blessings!

Friday, February 19, 2016

Aya ya Leo - Qur'an

Na bila ya shaka sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kuikumbuka, je kuna atakaye ikumbuka?

And We have certainly made the Qur'an easy for remembrance, so is there any who will remember? (Qur'an 54:17)

                                                       Jumaa Mubarak!


 


Friday, February 12, 2016

Aya ya Leo - Uchunguzi (Investigation)

Enyi nyie mlio amini! Akikujieni mpotovu na khabari yoyote, ichunguzeni, msije mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta kwa mliyo yatenda.

O you who have believed, if there comes to you a disobedient one with information, investigate, lest you harm a people out of ignorance and become, over what you have done, regretful. (Qur'an 49:6)

Next time unapata forward ya what's up, fanya kuichunguza kwanza kabla ya kuiforward. Ijumaa Mubarak my people!