Translate

Friday, July 10, 2015

Aya ya Leo - Protector(Mlinzi)


Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wangejua.

The parable of those who take protectors other than Allah is that of the spider, who builds (to itself) a house; but truly the flimsiest of houses is the spider's house;- if they but knew. (Qur'an 29:41)


Ijumaa Mubarak Wandugu! 
Tusisahau usiku wa lailatul qadr kuamka kuswali, In'shaa'llah Allah Atasikiliza dua zetu sote. 

No comments:

Post a Comment