Translate

Sunday, August 16, 2015

Prophet Joseph(Nabii Yusuf) - Episode 2

The long awaited birth of Joseph brings good to the whole village as wrath falls on Ishtar and Ester. On their way to Canaan Joseph's mother faces another difficult delivery of Joseph's brother Benjamin. Will she survive this time?

Subira ya kuzaliwa kwa Yusuf imeleta baraka kwenye kijiji kizima, wakati laana inamuangukia Ester. Njiani wakielekea Canaan, mama yake Yusuf alipata shida kujifungua Benjanim mdogo wake Yusuf. Je safari hii ataweza kuzaa salama?

Monday, August 10, 2015

Prophet Joseph(Nabii Yusuf) Episode 1

Prophet Jacob (pbuh) faces Ester the priest of Ishtar's temple, and tries to spread the message of Monotheism among his people.
 The hard pregnancy of Joseph's mother makes people doubt Allah as Ester
claims it's Ishtar's punishment for Jacob and his family.

Nabii Yaqub(baba yake Yusuf) anapambana na Ester Mkuu wa Nyumba ya Ibada ya Ishtar, na kujaribu ku hutubia dini ya Kuamini Mungu moja kwa watu wake. 
Mama yake Yusuf alipata mimba ya tabu, ikawafanya watu wawe na shaka ya Allah, sababu Ester alidai ni adhabu ya Ishtar kwa familia ya Yaq'ub. 
Angalia mwenyewe uone vitu vilivyo enda...

Friday, July 31, 2015

Aya ya Leo - Ardhi


Mliumbwa kutoka kwenye ardhi, na ndani yake tutakurudisheni, na kutoka humo tutakutoeni tena muda mwingine.

From the earth We created you, and into it We will return you, and from it We will extract you another time. (Qur'an 20:55)
 Jumaa Mubarak!

Friday, July 24, 2015

Aya ya Leo - Viwili (Pairs)

 
Ametakasika, aliye umba kila kitu viwili viwili, vyote katika vinavyo mea katika ardhi na katika nafsi zao, na katika wasivyo vijua.
 
Exalted is He who created all pairs - from what the earth grows and from themselves and from that which they do not know. (Qur'an 36:36)
 Jumaa Mubarak!

Sunday, July 19, 2015

Mawaidha ya Leo kutoka kwa OTHMAN MAALIM

Natumaini Sikukuu yako Eid ilikuwa nzuri. Basi tuusindikize Mfungo sita na maneno mazuri kutoka kwa Othman Maalim.

Ustadh kaongelea point nzuri, Mungu saa nyingine anakupa kikubwa zaidi ya wewe ulichokiomba.
Allah anayajua usiyajua wewe.
Tumuombe atupe Muongozo Mzuri.

Friday, July 17, 2015

Aya ya Leo - Mbingu na Ardhi (Heaven and Earth)


Mwenyezi Mungu ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Kwa hakika katika hayo ipo Ishara kwa Waumini.

Allah created the heavens and the earth in truth. Indeed in that is a sign for the believers.
(Qur'an 29:44)