Mliumbwa kutoka kwenye ardhi, na ndani yake tutakurudisheni, na kutoka humo tutakutoeni tena muda mwingine. From the earth We created you, and into it We will return you, and from it We will extract you another time. (Qur'an 20:55)
Ametakasika, aliye umba kila kitu viwili viwili, vyote
katika vinavyo mea katika ardhi na katika nafsi zao, na katika wasivyo
vijua. Exalted
is He who created all pairs - from what the earth grows
and from themselves and from that which they do not know. (Qur'an 36:36)
Natumaini Sikukuu yako Eid ilikuwa nzuri. Basi tuusindikize Mfungo sita na maneno mazuri kutoka kwa Othman Maalim.
Ustadh kaongelea point nzuri, Mungu saa nyingine anakupa kikubwa zaidi ya wewe ulichokiomba.
Allah anayajua usiyajua wewe.
Tumuombe atupe Muongozo Mzuri.
Mwenyezi Mungu ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Kwa hakika katika hayo ipo Ishara kwa Waumini. Allah created the heavens and the earth in truth. Indeed in that is a sign for the believers. (Qur'an 29:44)
I have to say I will miss Ramadhan for sure, but hey we can't dwell on what has passed, we can only welcome a new month of Shawwal with all its Glory. The Festivities, the food, the gatherings, the visomos every corner. I love Eid.