Translate

Friday, August 12, 2016

Aya ya Leo - Ulimwengu( The Universe)


Ni yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni,
na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda.

It is He who created the heavens and earth in six days and then established Himself above the Throne. He knows what penetrates into the earth and what emerges from it and what descends from the heaven and what ascends therein; and He is with you wherever you are. And Allah , of what you do, is Seeing. (Qur'an  57:4)

Jumaa Kareem!

Monday, August 8, 2016

Get your Psychology degree for Free!!!!

Yipeee! I love freebies, I so love freebies, don't you?

Sikieni, jamani wanachuo wetu, kwakweli ukisomea saikolojia unaweza kutoa mawaidha mazuri na kuwa mwalimu mwema wa dini. Pia unaweza kusaidia jamii kwa ndugu zetu wenye depression, matatizo ya akili na matatizo kwenye familia zao, kazi zao na kadhalika. Yaani, itakuongezea kipato chako, itakuinua kimaisha na itakusaidia jinsi ya kuongea na watu vizuri zaidi na kuweza kuwasaidia, na itakufungua wewe pia akili yako. Jamani sasa Islamic Online University wanatoa degree ya bure kabisa, nendeni mka jiandikishe. Fanyeni haraka jamani msi puuzie, yaani ni opportunity nzuri mno.

Nendeni kwenye website yao mka register Islamic Online University.

Happy Monday Everyone.

Friday, August 5, 2016

Aya ya Leo - Mafundisho ya Quran (Lessons of the Quran)


Na tumekwisha bainisha katika Qur'ani hii ili wapate kukumbuka. Lakini haikuwazidisha ila kuwa mbali nayo.

And We have certainly diversified [the contents] in this Qur'an that mankind may be reminded, but it does not increase the disbelievers except in aversion. (Qur'an 17:41)

Ijumaa Mubarak!