Translate

Tuesday, September 15, 2015

Crane laanguka Makkah ana kuua watu zaidi ya mia

Subhanallah! Innalillahi waina illahi rajiun. Kwa mwenyezu Mungu ndio tunapotoka na ndio marejeo. Mi ninavyo ona ni hizo crane zilikuwa positioned kwenye sehemu mbaya, na ni bora hii ajali imetokea muda huu, kabla watu wa haji hawakufika, cause the death toll would have been 100 times worse. Someone needs to be held responsible for this tragedy.
Sema Sina Shaka marehemu wote hawa wanaenda straight Peponi, na mwenyezi Mungu atawapokea. Nawaombea Mwenyezi Mungu awa fariji familia zao walizo ziacha.

No comments:

Post a Comment