Translate

Wednesday, December 9, 2015

Friday, December 4, 2015

Aya ya Leo - Wivu

 Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni shari wanafurahia. Na nyinyi mkisubiri na mkajizuilia, hila zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyazunguka yote wayatendayo.

 

If good touches you, it distresses them; but if harm strikes you, they rejoice at it. And if you are patient and fear Allah , their plot will not harm you at all. Indeed, Allah is encompassing of what they do.  

(Qur'an 3:120)

Friday, November 20, 2015

Aya ya Leo - Dua (Prayer)





Na kati yao wapo wanao sema:

Dua:

"Mola wetu Mlezi, tupe mema ya duniani, na mema ya Akhera, na utulinde na adhabu ya Moto! "

But among them is he who says, 

Prayer: 


"Our Lord, give us in this world [that which is] good and in the Hereafter [that which is] good and protect us from the punishment of the Fire."

 
(Qur'an 2:201)


                            Ijumaa Kareem wadau.

Friday, November 13, 2015

Aya za Leo - Allah


And it is He who accepts Repentance from his servants And Pardons Misdeeds, and he knows what you do. And He answers [the supplication of] those who have believed and done righteous deeds and increases [for] them from His bounty. But the disbelievers will have a severe punishment.

Ni yeye anaye pokea Toba kutoka wa waja wake, Na anasemehe makosa, Na anajua mnayo yatenda. 
Na anawaitikia wanao amini na wakatenda mema, na anawazidishia fadhila zake. Lakini makafiri watakuwa na adhabu chungu.
(Qur'an 42:25-26)

Maelezo:
Ni Mwenyezi Mungu peke yake ndiye mwenye kupokea toba kwa watu wanao mtii hata kwa makosa yaliyozidi yale wanayo ombea toba. Na Yeye ndiye anaye samehe madhambi yote isipo kuwa shirki, kwa  kufadhili na kurehemu; na anayajua myatendayo ikiwa ya kheri au shari.Na huwaitikia Waumini kwa wanayo yaomba, na huwazidishia juu ya hayo wanayo yaomba. Na makafiri watapata adhabu yenye kufikia ukomo wa ukali na uchungu.

Friday, November 6, 2015

Tanzania's 5th new president sworn in

Congratulations to our new President, Dr. John Pombe Magufuli and his Vice President Samia Hassan, for winning this year's election. The race was tight this year, but Alhamdullilah we made it to the end. Wishing our Zanzibar brothers and sisters a peaceful finish as well, to whoever wins May Allah guide and protect you all.

Friday, October 2, 2015

Aya ya Leo - Msamaha(Forgiveness)




Kimbilieni msamaha wa Mola wenu Mlezi, na Pepo ambayo upana wake ni kama upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Hiyo ndiyo fadhila ya Mwenyezi Mungu, humpa amtakaye. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila kuu.

Race toward forgiveness from your Lord and a Garden whose width is like the width of the heavens and earth, prepared for those who believed in Allah and His messengers. That is the bounty of Allah which He gives to whom He wills, and Allah is the possessor of great bounty.  (Qur'an 57:21)

Mina Stampede Nationality Death List - Update

Watanzania Tumeongezeka tumeshafika 7. Innalillah Jamani angalieni namba ya watu waliofariki kutoka Iran na Egypt. Yaani, ni kama group zao zote zilikwenda pamoja. Subhanallah! 464? Jamani that's like a whole village.
 
Nationalities of victims
Nationality Deceased Injured Missing Ref.
 Afghanistan 2 N/A 6 [19]
 Algeria 14 7 54 [20]
 Bangladesh 41 61 148 [21]
 Benin 17 N/A 0 [22]
 Burkina Faso 1 N/A 0 [23]
 Burundi 1 N/A 6 [24]
 Cameroon 42 100 55 [25][26]
 Chad 11 N/A 0 [27]
 China 4 N/A 0 [28]
 Egypt 124 16 72 [29]
 Ethiopia 13 26 0 [30]
 Ghana 13 N/A 21 [31]
 India 51 38 63 [32][33][34]
 Indonesia 59 4 74 [35]
 Iran 464 14 0 [36]
 Iraq 1 N/A 0 [37]
 Ivory Coast 14 N/A 77 [38]
 Jordan 1 N/A 2 [39]
 Kenya 6 N/A 8 [40]
 Libya 8 N/A 0 [41]
 Malaysia 1 N/A 0 [42]
 Mali 79 155 129 [43][44][45]
 Mauritius N/A N/A 5 [46]
 Morocco 19 8 29 [47][48]
 Myanmar 5 N/A 7 [49]
 Netherlands 1 N/A 0 [50]
 Niger 22 39 0 [51]
 Nigeria 64 71 244 [52]
 Oman N/A 5 1 [53][54]
 Pakistan 54 12 110 [55]
 Philippines 1 N/A 0 [56]
 Senegal 10 2 52 [57][58]
 Somalia 8 N/A 0 [50]
 Sri Lanka N/A N/A 2 [59]
 Sudan 9 13 20 [60]
 Tanzania 7 N/A 37 [61]
 Tunisia 1 N/A 0 [62]
 Turkey 4 N/A 5 [63]
 United Kingdom N/A N/A 1 [64][65][66]
Unknown N/A 363 0
Total 1,172 934 1,228 [67][68]

Tuesday, September 29, 2015

Mina Stampede Nationality Death List

Orodha ya waliofariki kutokana na Nchi zao kwenye Msongamano wa Mina.
Yaani Pakistan na Iran inaelekea group zao zote zilienda pamoja. Duh! Mwenyezi Mungu awafariji familia zao jamani.

Monday, September 28, 2015

Maafa ya Msongamano wa Mina Nje ya Makka

Mmoja wa mahujjaj kutoka group ya Kenya akielezea tukio la Maafa ya Mina.
 
Mnasikia alivyosema, wamefunga njia. Jamani haya kwakweli ni Makosa ya Serikali ya Saudia.Waajiri kampuni ya kuwasadia ku manage crowd sasa. Tena wakitangaza tu tenda, makampuni kibao yatajitokeza.

Maafa ya Msongamano wa Mina 2015

Ikielezewa na Sheikh Haruna Ibrahim. Huu kwa kweli ni Msiba.

Habari niliyo pata ni kuna watanzania 4 wamefariki na wengine 17 wanatafutwa.

Saturday, September 26, 2015

Saudi Prince Convoy Caused Stampede ? Tragedi Mina / Incident Mecca Makkah

OMG is this true?

Live reporting from Mina, near Makkah(Mecca), Saudi Stampede News Update...

I don't know about everyone else, but I blame the Saudi Government on this.

I heard another interview from one of the East African Pilgrims and he
said that the road or path was closed, forcing people to take whatever
route to go back and that is why the people clashed. Why did they close
that path on one of the busiest days? Lets assume there was construction going on and they had to close it, why didn't they have people directing the masses where to go? I hear 5 Tanzanians died, we will have to wait for an official statement, but I am angry there is absolutely no excuse for this.

Thursday, September 24, 2015

Hajj Stampede - Crush during Hajj pilgrimage in Saudi Arabia 24.09.2015

The deathtoll is now 450.

Subhanallah! Innalillahi waina illahi rajiun. To God we belong and to him is our return.
This is a tragedy, first the crane accident and now this? It goes to show that no matter how much the Saudi government prepares for the massive influx of Hajj Pilgrims, they still have ways to go for crowd control, I mean this is not the first time and it happens a lot, its one of the main things pilgrims are told about before they go. Construction improvement is a step in the right direction, however, your dealing with people from different societies and culture, there should be more focus on crowd control policies, for example they can place panic buttons for folks in front and around the walls to sound an alarm when a situation gets uncomfortable. 
May Allah accept the departed into his kingdom, and may he grant peace to the families left behind.

Monday, September 21, 2015

Arafah 2015

It is expected to be on Wednesday since Thursday September 24th is Eid Al Adha. On this day the Muslims will travel 20km from Mina to Mount Arafat to stand at the site where Prophet Mohammad(S.A.W) is believed to have delivered his farewell sermon.


Then they will go back to Makkah and perform the Tawaf, which is going around the Kaaba seven times.

The rest of us not participating in the Hajj Fast on Arafah, so we are all fasting on Wednesday, yes?


Tuesday, September 15, 2015

Crane laanguka Makkah ana kuua watu zaidi ya mia

Subhanallah! Innalillahi waina illahi rajiun. Kwa mwenyezu Mungu ndio tunapotoka na ndio marejeo. Mi ninavyo ona ni hizo crane zilikuwa positioned kwenye sehemu mbaya, na ni bora hii ajali imetokea muda huu, kabla watu wa haji hawakufika, cause the death toll would have been 100 times worse. Someone needs to be held responsible for this tragedy.
Sema Sina Shaka marehemu wote hawa wanaenda straight Peponi, na mwenyezi Mungu atawapokea. Nawaombea Mwenyezi Mungu awa fariji familia zao walizo ziacha.

Tuesday, September 8, 2015