Translate

Friday, March 15, 2019

Aya ya Leo - MuhammadMuhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri, na wanahurumiana wao kwa wao. Utawaona wakiinama na kusujudu wakitafuta fadhila na radhi za Mwenyezi Mungu. Alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama mmea ulio toa chipukizi lake, kisha ukalitia nguvu, ukawa mnene, ukasimama sawa juu ya ubuwa wake, ukawafurahisha wakulima, ili  kuwakasirisha kwa ajili yao makafiri. Mwenyezi Mungu amewaahidi walio amini na wakatenda  mema katika wao msamaha na ujira mkubwa.

Muhammad is the Messenger of Allah ; and those with him are forceful against the disbelievers,  merciful among themselves. You see them bowing and prostrating [in prayer], seeking bounty from  Allah and [His] pleasure. Their mark is on their faces from the trace of prostration. That is their  description in the Torah. And their description in the Gospel is as a plant which produces its offshoots and strengthens them so they grow firm and stand upon their stalks, delighting the sowers - so that Allah may enrage by them the disbelievers. Allah has promised those who believe and do righteous deeds among them forgiveness and a great reward. 
 (Qur'an 48:29)
Ijumaa Kareem!

No comments:

Post a Comment