And it is He who accepts Repentance from his servants And Pardons Misdeeds, and he knows what you do. And
He answers [the supplication of] those who have believed and done
righteous deeds and increases [for] them from His bounty. But the
disbelievers will have a severe punishment.
Ni yeye anaye pokea Toba kutoka wa waja wake, Na anasemehe makosa, Na anajua mnayo yatenda.
Na anawaitikia wanao amini na wakatenda mema, na anawazidishia fadhila zake. Lakini makafiri watakuwa na adhabu chungu.
(Qur'an 42:25-26)
Maelezo:
Ni Mwenyezi Mungu peke yake ndiye mwenye kupokea toba kwa watu wanao mtii hata kwa makosa yaliyozidi yale wanayo ombea toba. Na Yeye ndiye anaye samehe madhambi yote isipo kuwa shirki, kwa kufadhili na kurehemu; na anayajua myatendayo ikiwa ya kheri au shari.Na huwaitikia Waumini kwa wanayo yaomba, na huwazidishia juu
ya hayo wanayo yaomba. Na makafiri watapata adhabu yenye kufikia ukomo
wa ukali na uchungu.
No comments:
Post a Comment