Imehadithiwa na Abu Bakra:
Tulikuwa na Mtume wa Allah wakati jua lilivyo funikwa na mwezi. Mtume wa Allah aka nyanyuka, kavuta vazi lake la nje na akaingia msikitini. Alituswalisha Rakaa mbili mpaka Jua lilivyo achwa kufunikwa. Mtume wa Allah(S.A.W) akasema, " Jua na Mwezi hazi zibani kwasababu mtu kafariki. Kwahiyo kila unapo ona haya matukio ya Mwezi na Jua kuzibana, Mtaje Allah mapaka hilo tukio likisha pita.
Narrated Abu Bakra:
We were with Allah's Apostle when the sun eclipsed. Allah's Apostle stood up dragging his cloak till he entered the Mosque. He led us in a two-Rakat prayer till the sun (eclipse) had cleared. Then the Prophet (p.b.u.h) said, "The sun and the moon do not eclipse because of someone's death. So whenever you see these eclipses pray and invoke (Allah) till the eclipse is over."
Bukhari Book 18:150
No comments:
Post a Comment