Kuna bug ya openSSL iliyotangazwa inaitwa Heartbleed. Hi bug inawapa ma hackers access ya username na password ya watumiaji wa websites zinazotumia openSSL kama Facebook, Google, insta, yahoo nakadhalika.Hii bug imesha rekebishwa na kampuni ya openSSL, ingia
hapa upate orodha ya websites zilizo adhirika na hii bug.
Wise Words
ReplyDelete