Translate

Friday, February 28, 2014

Interview with Julius Nyerere, 1960s

Katika, kupita pita kwangu Youtube, nikakutana na hii kitu. Kwakweli ni priceless. Yaani kwenye interview, unaona vile kweli wazee wa zamani walivyo someshwa vizuri, mwalimu ni mwalimu haswa na kasomea trade yake na full ma confidence.  Plan ya Mwalimu ilikua nzuri kwa kweli, Elimisha jamii na concentrate kwenye shule za secondary, ili uweze kupata walimu kutoka huko kwa haraka zaidi watakao endelezwa.

Lakini mtangazaji kamuuliza swali zuri back in the 1960s.
"Unadhani watanzania wenye pesa, watakapoanza kuongezeka kwenye jamii,  hawata taka kuwapeleka watoto zao kwenye shule za private ili waweza kujitofautisha na watoto wanao kwenda kwenye shule za serikali?" 

Unfortunately, this is the current state of affairs now. Shule za serikali haziko kwenye standard za enzi zile, its a sad fact, but ukweli ndio huo.
The interview is in English.
On a side note, cheki Dar in Black and White, ilikuwa bab kubwa.

No comments:

Post a Comment