Kwa wale wadau wasio jua kama gari lao lipo kwenye huo mkumbo, na una gari ya aina hiyo na uliishusha gari yako toka Marekani, nakushauri uende kwa Toyota dealership karibu yako ucheki kama na wewe upo kwenye list. Au check vin number yako, ambayo ni mchanganyiko wa namba na herufi jumla ya herufi 17. Angalia hii namba kwenye dashboard upande wa dereva kuna ka chuma kadogo yenye hii namba, au fungua mlango wa dereva, pale mlango unapojibana hii VIN pia inapatikana hapo. Halafu nenda hapa, ucheki kama gari lako lipo kwenye list.
Toyota Sports-Utility 2006. Ni tamu hiyo
Lexus Sedan 2006
Duh! Aisee kama imepaki mbele nyumba kama hiyo,halafu ikawa ni yako hapo nyuma. Ni Raha tupu.
No comments:
Post a Comment