Othman maalim is such a great story teller. Yaani, anakusukia story kama movie vile, hivi kwanini hii story haina movie yake mpaka saa hivi?
Thursday, May 31, 2018
Wednesday, May 30, 2018
Mazishi ya Seyyid Abdulrahman Ali
Innalillahi waina Illahi rajiun. Mwenyezi Mungu ampe kauli thabit.
Gifted with Cancer - Ali Banat
Ali Banat who was featured in living Muslim has passed away.
Inna lillahi waina illahi rajiun, May Allah grant him Jannah.
Tuesday, May 29, 2018
Monday, May 28, 2018
Hadithi ya Leo -Salatul Witr (The Last Prayer of the Night)
Ime hadithiwa na Abdullah bin Umar:
Mtume (ﷺ) alisema, "Sala ya usiku ina swaliwa rakaa mbili, ikifuatiwa na rakaa mbili na kuendelea. Na kama unataka kuimaliza,
basi swali raka moja ambayo itakuwa witr ya rakaa zako zilizopita."
Al-Qasim alisema, "toka tupate umri wa ujana,tumekuwa tukiona watu wakiswali rakaa tatu kama sala ya witr na yote hiyo ina ruhusiwa.
Natumania hakutukuwa na madhara ndani yake."
Narrated `Abdullah bin `Umar:
The Prophet (ﷺ) said, "Night prayer is offered as two rak`at followed by two rak`at and so on,
and if you want to finish it, pray only one rak`a which will be witr for all the previous rak`at." Al-Qasim said,
"Since we attained the age of puberty we have seen some people offering a three-rak`at prayer as witr and all that is permissible.
I hope there will be no harm in it."
(Bukhari: Book 14, Hadith 4)
Friday, May 25, 2018
Aya ya Leo - Salaa

Shika Sala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qur'ani ya al fajiri. Hakika Qur'ani ya alfajiri inashuhudiwa daima.
Perform As-Salat (Iqamat-as-Salat) from mid-day till the darkness of the night (i.e. the Zuhr, 'Asr, Maghrib, and 'Isha' prayers), and recite the Quran in the early dawn (i.e. the morning prayer). Verily, the recitation of the Quran in the early dawn is ever witnessed (attended by the angels in charge of mankind of the day and the night). (Qur'an 17:78)
Thursday, May 24, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)
