Pages

Tuesday, January 13, 2015

Hadithi ya Leo - Mwanaume Mwenye Kupenda Kuongea aka Mmbea



Abu Said Al-Khudri( Mwenyezi Mungu Aridhike Nae) alisema:
 Mtume wa Allah(S.A.W) alisema, "Mtu Mbaya kuliko watu wote kwa Allah siku ya Kiyama, ni yule ambaye anatoa siri za Mkewe za ndani na kwenda kuzisambaza kwa watu."

Abu Sa'id Al-Khudri (May Allah be pleased with him) reported:
Messenger of Allah (ﷺ) said, "The most evil of the people to Allah on the Day of Resurrection will be the man who consorts with his wife and then publicizes her secret."


[Muslim] Book 2, Hadith 685

No comments:

Post a Comment