Pages

Thursday, February 14, 2013

Sheikh Nassor Bachu Afariki Dunia

Sheikh Nassor Bachu Kutoka Zanzibar, amefariki dunia. Habari niliyosikia kwenye Radio Qiblaten ni kua Mazishi yatakuwa kesho saa nne asubuhi kwenye makaburi ya fuoni. Inna lillahi wa Inna Ilahi Raj'iun. Kwa mwenyezi Mungu ndio tunapotoka na ndio marejeo. Namuombea Mwenyezi Mungu amsamehe madhambi yake, amuwekee Nuru kwenye Kaburi lake na amuweke mahali pema peponi.
Hii video ni baadhi ya Mawaidha yake aliyokuwa akitoa, wakati wa uhai wake.
 Sheikh Naasor BACHU - KWENYE UZITO KUNA WEPESI(trans.WITH EVERY HARDSHIP COMES EASE)

4 comments:

  1. What a big lose for the ummah. He was the scholar of africa that I loved the most. Wallah I can call myself his student even though I didn't meet him. I have learned so much from his durus. May Allah forgive him andgrant him jannatul Firdaws. Ameen thumma ameen.

    ReplyDelete
  2. ameen rabbal alamin. mungu atamlaza mahali pema inshallah.

    ReplyDelete
  3. mungu ampeleke mahali pema peponi

    ReplyDelete
  4. Mola amghufurie,amrahamu na amueke mahala pema penye wema peponi. Inna lillaah WA inna ilaihi raajiuun. Alikua kiongozi bora kidarasa/kimawaidha...mola amlipe kwa ulimi wake WA kheri.

    ReplyDelete