Pages

Wednesday, February 13, 2013

Aya ya Leo kutoka Suratul Al-Baqara

Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Nasikiliza maombi ya kila mwombaji anapo niomba. Basi na wao wanisikilize na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka.

When My servants ask thee concerning Me, I am indeed close (to them): I listen to the prayer of every suppliant when he calleth on Me: Let them also, with a will, Listen to My call, and believe in Me: That they may walk in the right way. (Quran 2:186)

No comments:

Post a Comment