Pages

Thursday, August 2, 2012

Toyota RAV4 and LEXUS Recall

Toyota is recalling 778,000 from the US of RAV4 Sports Utility and Lexus sedans. The company claims that there is a problem with the rear suspension arm. Toyota says that if the nuts on the rear suspension arm were not tightened properly during a wheel-alignment service, then rust can form with use causing the rear suspension arm to wear and separate. The affected cars are the 2006 to early 2011 models. Toyota is developing a fix and will notify owners to make an appointment with a dealer to apply the fix once implemented.

Kwa wale wadau wasio jua kama gari lao lipo kwenye huo mkumbo, na una gari ya aina hiyo na uliishusha gari yako toka Marekani, nakushauri uende kwa Toyota dealership karibu yako ucheki kama na wewe upo kwenye list. Au check vin number yako, ambayo ni mchanganyiko wa namba na herufi jumla ya herufi 17. Angalia hii namba kwenye dashboard upande wa dereva kuna ka chuma kadogo yenye hii namba, au fungua mlango wa dereva, pale mlango unapojibana hii VIN pia inapatikana hapo. Halafu nenda hapa, ucheki kama gari lako lipo kwenye list.

Toyota Sports-Utility 2006. Ni tamu hiyo

Lexus Sedan 2006
Duh! Aisee kama imepaki mbele nyumba kama hiyo,halafu ikawa ni yako hapo nyuma. Ni Raha tupu.





No comments:

Post a Comment