Hii Aya waislamu tunashauriwa kuisoma kila siku, ukiisoma usiku, Allah anakuteulia mlinzi kukulinda usiku kucha na mabaya yote 
mpaka asubuhi. Na asubuhi pia ukiisoma, unapewa mlinzi wakukulinda 
mpaka usiku.
Mtume Muhammad(S.A.W) alisema, " Yule mwenye kuisoma hii aya baada ya kila sala, basi kifo ndo kinachomzuia yeye kuingia peponi."
Basi tujitahidi kuihifadhi hii aya.
Ayatul Kursi - Miracles of Quran - Ustadh Nouman Ali Khan
 1. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye 
hai.Msimamia mambo yote milele.
hai.Msimamia mambo yote milele.
2. Hashikwi na usingizi wala kulala. 
3.Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani.
3.Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani.
4.Ni nani huyo awezaye 
kuombea mbele yake bila ya idhini yake?
kuombea mbele yake bila ya idhini yake?
5.Anayajua yaliyo mbele yao na 
yaliyo nyuma yao.
yaliyo nyuma yao.
6. wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi 
wake, ila kwa atakalo mwenyewe.
wake, ila kwa atakalo mwenyewe.
7.Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; 
8.Na wala haemewi na kuvilinda hivyo. 
9.Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye 
Mkuu
Mkuu
(Qur'an 2:255)
No comments:
Post a Comment